#MatatuMadness: Ushawahi Skuma Mat Na Umelipia?
By: Kevin Munguti @KelvinMunguti Mwalimu kuna siku nilikua na shughuli mingi tu sana baridi ndio hio, mvua kunyesha siku mzima, rasharasha…. jioni ikafika, wakati wakuenda nyumbani, pale stage ya kwetu Embassava sacco ilikua ime-suspendiwa kwa muda kidogo, kunayo hii sacco ingine...
Read the story